Baada ya kumalizika mahafali niliingia Mlimani City kupiga picha na kununua bidhaa mbalimbali ikiwemo (Wine)Mvinyo.

1 comment:

  1. Mpambanaji Happy,
    Hongera sana! Sina shaka nyenzo hii mpya uliyoipata utaitumia barabara katika utumishi wako kwa jamii.

    ReplyDelete