tag:blogger.com,1999:blog-44694953514746627022024-03-17T20:31:02.815+03:00Fukuto la JamiiMakala, Habari, Uchambuzi na kila kituMS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.comBlogger1429125tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-77808795967173176542018-07-07T00:48:00.000+03:002018-07-08T09:20:11.930+03:00KAMISHNA JENERALI JUMA MALEWA ,STAHIMILI
Na Happiness Katabazi
LEO Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amemtimua kikaoni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza Dk.Juma Malewa kwa kile alichodai amechelewa kufika katika mkutano wake na waandishi wa habari.
Kitendo hicho ambacho si cha kiungwana kilichofanywa na Waziri Lugola dhidi ya Kamishna Jenerali Dk.Malewa kimewasikitisha watu nikiwemo mimi.
Waziri Lugola MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com1tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-8626108651230419242018-02-25T17:21:00.002+03:002018-02-25T17:21:35.807+03:00MAHAKAMA YAKATAA KUMWONDOLEA DPP NGUVU YA KUZUIA DHAMANA KESI ZA UHUJUMU UCHUMI
Na Happiness Katabazi
HATIMAYE Mahakama ya Rufani nchini imekataa kutamka Kuwa Kifungu cha 36(2) cha Sheria ya Uhujumu Uchumi ,sura ya 200 ya Mwaka 2002 kinachompa mamlaka Mkurugenzi wa Mashitaka (DPP) kuzuia dhamana kwa washitakiwa wa kesi za Uhujumu uchumi kinavunja ibara ya 13(6)(a) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 .
Kifungu hicho cha 36(2) cha Sheria MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-63115119752251091142018-02-13T14:22:00.000+03:002018-02-13T14:23:27.361+03:00PROFESA ABDALLAH SAFARI
Na Happiness Katabazi
PROFESA SAFFARI ni Mbobezi,Mhadhiri wa Fani ya Sheria na Mwandishi wa vitabu vingi tu.
Nakushukuru Mzee wangu Profesa Safari kwakuikubali makala yangu iliyokuwa na kichwa cha habari kisemacho , (RAIS AANZE KUREJESHA NYUMBA YAKE SERIKALINI) , iliyochapichwa na Gazeti la Tanzania Daima 13/3/2008.
Ambayo aliichukua na kutumia maudhui ya makala yangu hiyo katika MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-21498334288141994962018-02-08T17:47:00.003+03:002018-02-08T17:50:10.012+03:00TAMBWE HIZZA 'TAJIRI WA MANENO ' UMEKWENDA
Na Happiness Katabazi
KWA wafuatiliaji wa masuala ya siasa nchini tangu Miaka 1998 ni wazi kabisa masikioni mwao jina la mwanasiasa maarufu nchini,Richard Tambwe Hizza ambaye amefariki Leo asubuhi siyo geni masikioni mwao.
Tambwe Hizza alikuwa ni miongoni mwa Chanzo changu cha Habari muda mrefu Enzi zile za mwishoni mwa Mwaka 1999 hadi 2000-2005 Enzi hizo Mimi nikiwa Mwandishi wa Habari wa MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-720859892555841822018-02-05T17:17:00.002+03:002018-07-07T00:45:59.089+03:00DPP ANYANG'ANYWA TENA MAMLAKA YA KUZUIA DHAMANA
Na Happiness Katabazi
MAHAKAMA Ya Rufani nchini imeifukuza kwa gharama rufaa ya Kesi ya Madai iliyokuwa imekatwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya mjibu Rufaa, Jaremia Mtobesya iliyokuwa inaiomba Mahakama hiyo itengue uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu Kanda Dar es Salaam ambayo ulisema Kifungu cha 148 (4) cha Sheria ya Mwenendo wa MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-84280238619078506462018-02-04T15:36:00.001+03:002018-02-04T15:37:32.237+03:00WAZIRI KIGWANGALA HIVI UNA AKILI TIMAMAMU?
Na Happiness Katabazi
JANUARI 25 mwaka huu, Waziri wa Maliasili na Utalii Dk.Hamis Kigwangala ametoa siku saba kwa Jeshi la Polisi kuwakamata wahusika wakuu wa Mtandao wa Ujangili wa nyara za serikali na kupanga Mauaji ya aliyekuwa Mkurugenzi wa kampuni Palms Foundation na Mtetezi wa wanyama pori, Wayne Lotter ,Augosti Mwaka 2017.
Waziri Dk. Kigwangala alisema hayo mjini Dodoma MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-30990445627641468812018-02-04T15:29:00.001+03:002018-02-04T15:37:56.964+03:00AGNES YAMO ,MDOGO WANGU SISI TULIKUPENDA ILA MUNGU AMEKUPENDA ZAIDI
Na Happiness Katabazi
JANA saa sita mchana mimi na mama yangu tulikupokea pale Hospitali ya Jeshi Lugalo,ukiwa huna fahamu na madaktari na manesi wa Lugalo walijitahidi kadri ya uwezo wao...
kuokoa maisha yako bila mafanikio.Jana saa 12 jioni manesi wa hospitali hiyo walitupatia vipimo walivyomchukua Agnes wakitaka twende Hospitali ya Mhimbili tukavipime na kisha tuwaletee majibu na MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-35934346799204266442018-01-04T13:35:00.001+03:002018-01-04T13:35:19.963+03:00MAYAGE S MAYAGE UMENIACHIA KOVU LISILOFUTIKA
Na Happiness Katabazi
LEO 25 /12/2017 ikiwa Wakristo Duniani kote tunasherehekea Sikukuu ya kukumbuka kuzaliwa kwa Yesu Kristo pia mimi Happiness Katabazi nasherehe siku ya kuzaliwa ambapo leo natimiza umri wa miaka 38 toka nilipozaliwa katika Hospitali Kuu ya Jeshi Lugalo Dar es Salaam, 25/12/1979.
Lakini sherehe hizi Leo kwa upande wangu zimeingiwa na MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-43167679716850703212017-12-30T02:04:00.000+03:002017-12-30T02:06:03.174+03:00PADRI KIMARO ASHINDA RUFAA YAKE
PADRI KIMARO ASHINDA RUFAA YAKE
Na Happiness Katabazi
PADRI Sixtus Kimaro (40), aliyekuwa amefungwa jela miaka 35 mwaka 2005 baada ya kupatikana na hatia ya kumlawiti mvulana mwenye umri wa miaka 17, ameachiwa huru jana baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar Es Salaam, kutupilia mbali hatia zote mbili na kifungo.
Akitoa uamuzi huo jana Jaji wa Mahakama Kuu, Robert Makaramba alisema amemwachia MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-62605691270492692742017-06-21T13:11:00.001+03:002017-06-21T13:11:19.531+03:00NIMEPONA TATIZO LA MACHO BILA KUVAA MIWANINIMEPONA TATIZO LA MACHO BILA KUVAA MIWANI
Na Happiness Katabazi
MEI 16 Mwaka 2017 saa tano asubuhi nilikwenda Katika Hospitali ya Rufaa ya Jeshi la Ulinzi la Wananchi ( JWTZ) Lugalo Dar es Salaam ,kwaajili ya kuonana na Daktari wa macho ili anipatie matibabu ya macho yangu ambayo yamenisumbua kwa Takribani Miaka Nane sasa maana nilishaanza kuona MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com15tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-28907987580339302152017-06-21T13:08:00.002+03:002017-06-21T13:08:42.937+03:00TANGULIA 'KIFAA' AFANDE MWAUZI
TANGULIA 'KIFAA' AFANDE MWAUZI
Na Happiness Katabazi
JANA mchana maofisa wa tatu wa ngazi ya juu Jeshi la Polisi ambao ni marafiki zangu katika mazungumzo nao ya kawaida tu walinijulisha kuwa wamefiwa na mfanyakazi mwenzao ambaye ni Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi (SACP) Lutenta Modest Mwauzi ambaye alifariki Juni 12 Mwaka huu na akazikwa Jana MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-70797183323357390862017-06-21T13:06:00.001+03:002017-06-21T13:06:46.568+03:00MIPANGO YENU YA UDHALIMU DHIDI YANGU NIMEIBAINI
Na Happiness Katabazi
LEO Mchana Mara ya kwanza mtu mwenye namba 0624 317172 alijitambulisha kwa jina la Justine alijitambulisha yeye ni mwanakywa ya wa Kanisa la KKKT Temeke ,wanataka kurekodi video hivyo wamepewa namba yangu ili ni wasaidie kuwaandikia Makala nikamwambia nilishaachaga Kazi Katika magazeti ila msaada nitakao mpa ni kumu unganisha na waandishi wa Habari wa MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-73377683700623997762017-02-04T21:15:00.002+03:002017-02-04T21:16:29.700+03:00 JENERALI MWAMUNYANGE UMEACHA ALAMA JWTZ
Na Happiness Katabazi
FEBRUALI 2 Mwaka 2017, Rais John Magufuli alimteua Luteni Jenerali Venance Mabeyo Kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania .
Uteuzi huo ni Ishara Kuwa aliyekuwa Mkuu wa JWTZ Jenerali Davis Mwamunyange ambaye aliapishwa kushika wadhifa huo Septemba 15 mwaka 2007 ,amestaafu Kazi hiyo kwa mujibu wa Sheria.
Awali ya yote napendaMS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-87090419015591825602016-11-29T21:48:00.001+03:002016-11-29T21:48:27.267+03:00MCHUNGAJI ANTHONY LUSEKELO USIRUDIE TENA KUFANYA USHETANI HUU
MITHALI 20: 1 Katika Biblia inasema : " Mvinyo hudhihaki ,kileo huleta ugomvi; Na akosaye kwa vitu hivyo Hana Hekima".
Nimelazimika kutumia nukuu hiyo ya Biblia Kuonyesha matendo ya kishetani yaliyotendwa Jana hadharani na Kiongozi wa Kanisa la Maombezi nchini lenye masikani yake Ubungo Kibangu Dar Es Salaam,Anthony Lusekelo yana baraka za kitabu cha Mithali 20:1 Katika Biblia Kwani MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com1tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-42112645107550557262016-11-21T12:28:00.001+03:002016-11-21T12:28:11.525+03:00MAKONDA TULIA UNYWE DAWA
Na Happiness Katabazi
WIKI Iliyopita Mkuu wa MKoa wa Dar Es Salaam ,Paul Makonda Mara Kadhaa amenukuliwa Katika vyombo Vya Habari akisema yeye amejitahidi kadri ya uwezo wake Kupambana na matumizi ya dawa za kulevya ikiwemo Shisha lakini Jeshi la Polisi limekuwa likisita kuwachukulia Hatua wahusika.
Makonda alitoa tuhuma hizo Mbele ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Katika Uzinduzi wa Mradi wa MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-5769302162544051592016-11-19T12:58:00.000+03:002016-11-19T12:58:27.586+03:00SERIKALI IAINISHE HAYA MISAADA YA WAATHIRIKA WA TETEMEKO KAGERA
Na Happiness Katabazi
ITAKUMBUKWA Kuwa 10/9/2016 saa 9 Alasiri maeneo ya Kanda ya Ziwa na hasa MKoa wa Kagera yalipatwa na tetemeko la Ardhi linalokadiriwa Kuwa na ukubwa wa 5.9 Katika vipimo Vya Richter.
Tetemeko Hilo lilisababisha athari mbalimbali zikiwemo Vifo ,majeruhi,uharibifu wa makazi na miundombinu ya umma na watu binafsi . Jumla ya watu 17 wa lipoteza Maisha na 560 MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-15509380836915775212016-11-07T15:04:00.001+03:002016-11-07T15:28:04.201+03:00SPIKA SAMUEL SITTA AMEKWENDA HATORUDI
Na Happiness Katabazi
KWELI udongo auvimbiwi. Utammeza pia mpendwa wetu,Wakili msomi na mwanasiasa machachari Spika Mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano WA Tanzania, Samuel Sitta ambaye amefariki Alfajiri ya Leo 7/11/2016 katika Hospitali ya Technical University of Munich nchini Ujerumani alikokuwa amelazwa kwaajili ya matibabu.
Mwanasiasa huyu nilimpenda licha kuna kipindi alivyokuwaMS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-9142385241254337412016-11-05T19:04:00.000+03:002016-11-05T19:14:49.268+03:00RAIS MAGUFULI BADILIKA
Na Happiness Katabazi
EZEKIELI 3:19 Katika Biblia inasema , " Lakini ukimwonya mtu Mbaya ,wala yeye hauachi ubaya wake, wala njia yake Mbaya ,atakufa Katika uovu wake; bali wewe umejiokoa roho yako.
Nimelazimika kutumia nukuu hiyo ya Kitabu cha Ezekieli kinachopatikana Ndani ya Biblia kwasababu Leo Rais Dk.John Magufulianatimiza Mwaka mmoja tangu alipo apishwa 5/11/2015 MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-66923708697430584622016-09-27T21:10:00.000+03:002016-09-27T21:10:31.843+03:00HUKUMU YA RUFAA DDP V. ZOMBE
IN THE COURT OF APPEAL OF TANZANIA
AT DAR ES SALAAM
(CORAM:LUANDA, J.A., MJASIRI, J.A. And KAIJAGE, J.A.)
CRIMINAL APPEAL NO.358 OF 2013
DIRECTOR OF PUBLIC PROSECUTIONS .……………………….………. APPELLANT
VERSUS
1.ACP ABDALLAH ZOMBE
2. SP CHRISTOPHER BAGENI
3. ASP AHMED MAKELE
4. WP 4593 PC JANE ANDREW
5. D. 1406 CPL EMMANUELMABULA &MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-4754088350125570902016-09-17T17:06:00.001+03:002016-09-17T17:06:30.966+03:00DAWA YA KUUA PAKA HII HAPA
Na Happiness Katabazi
TATIZO la Paka wasiyo na wenyewe kuzagaa na kuishi Katika maneno ambayo Wamiliki Wengi wa maeneo hayo hawajaridhia Paka waishi linazidi Kuwa ni Kero Katika baadhi ya maeneo ya hapa nchini.
Tumeshuhudia majumbani, mahospitalini, mahotelini, Bar, mashuleni, na sehemu nyingine Paka wasiyo na wenyewe wamekuwa wakiishi Katika maeneo hayo na kufanya baadhi ya vitendo MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-12233750642372398282016-09-17T16:58:00.003+03:002016-09-18T21:39:18.190+03:00DAWA YA KUUA PAKA HII HAPA
DAWA YA KUUA PAKA HARAKA HII HAPA
Na Happiness Katabazi
TATIZO la Paka wasiyo na wenyewe kuzagaa na kuishi Katika maneno ambayo Wamiliki Wengi wa maeneo hayo hawajaridhia Paka waishi linazidi Kuwa ni Kero Katika baadhi ya maeneo ya hapa nchini.
Tumeshuhudia majumbani, mahospitalini, mahotelini, Bar, mashuleni, na sehemu nyingine Paka wasiyo na wenyewe wamekuwa wakiishi Katika maeneo hayo MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com6tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-69704644824873033312015-12-30T12:33:00.002+03:002015-12-30T12:36:12.243+03:00CCM MNAIKUMBUKA FAMILIA YA MAREHEMU JOHN KOMBA?
Na Happiness Katabazi
KWA wiki Tatu sasa kuna kitu kinanisukuma niandike Kuuliza Swali hili ; " CCM inakumbuka familia ya aliyekuwa kiongozi wa bendi wa TOT,marehemu John Komba?
Kabla ya kampeni za uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 niliiandika Wimbo wa CCM Mbele Kwa Mbele Uliotungwa na Komba na nilitabiri Kuwa Wimbo huo utakuja Kuwa ni Wimbo maarufu wakati wa kampeni zikianza na MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-76392526585320281422015-12-17T00:28:00.003+03:002015-12-17T00:29:01.822+03:00' NJAGU" VALENTINO MULOWOLA KAIMU MKURUGENZI MKUU TAKUKURU
Na Happiness Katabazi
BINAFSI simfahamu Valentino Mulowola ,ila napenda Kumpa pongezi zangu za dhati kwa kuteuliwa na Rais Dk.John Magufuli Kuwa Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU ikiwa ni siku Chache tu tangu Rais Magufuli akutoe Polisi na Kukuteua Kuwa Naibu Mkurugenzi wa Takukuru na Leo ametangaza Kukuteua Kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Takukuru.
Watu waliokaribu na Valentino Mulowola MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-42729920832591858682015-12-17T00:21:00.000+03:002015-12-17T00:22:00.641+03:00 DK.EDWARD HOSEA OUT TAKUKURU
: Kweli yaliyomkuta Boko na Mamba pia yatamkuta kwasababu wote wanaishi Kwenye Maji.
Katika utawala wa Dk.Hosea aliongoza hatua za kimaendeleo za taasisi hiyo zikapatikana ikiwemo upatikanaji wa jengo la makao makuu ya Takukuru,ofisi za Taasisi hizo kujengwa kwa wingi kwenye wilaya,main USA. wengi kupelekwa vyuoni kujiendeleza kielimu na mambo mengi.
Hata hivyo chini ya utawala wake MS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0tag:blogger.com,1999:blog-4469495351474662702.post-60208516005673744682015-12-17T00:18:00.000+03:002015-12-17T00:18:03.697+03:00MKURUGENZI MUSSA NATTY ASIMAMISHWA KAZIMS.HAPPINESS KATABAZIhttp://www.blogger.com/profile/04437274858753024061noreply@blogger.com0