Header Ads

MWILI WA PROFESA WAMBALI KUAGWA LEO JUMATATU UDSM

Na Happiness Katabazi

Mwili wa aliyekuwa Mhadhiri wa Shule Kuu ya Sheria ya Chuo Kikuu Cha Dar es Salaam, na wakili maarufu Profesa Michael Wambari utaagwa leo  Jumatatu, saa mbili asubuhi katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, kwa heshima zote za kisomi na kisha mwili huo kusafirishwa kupelekwa Wilayani Mpanda kwa ajili ya kuzikwa .

Marehemu alikuwa akisumbuliwa na uvimbe ambao kwa mujibu wa ripoti za madaktari walisema alipata uvimbe huo kwa njia ya hewa.

Na Waziri Mkuu Mizengo Pinda anatarajiwa kuongoza wasomi,wananchi katika kutoa heshima za mwisho za mwili wa nguri huyo wa sheria.

Mungu ailaze roho ya marehumu mahali pema peponi.


Chanzo:www.katabazihappy.blogspot.com 

No comments:

Powered by Blogger.