Header Ads

DAWA YA KUUA PAKA HII HAPA


DAWA YA KUUA PAKA HARAKA HII HAPA
Na Happiness Katabazi

TATIZO la Paka wasiyo na wenyewe kuzagaa na kuishi Katika maneno ambayo Wamiliki Wengi wa maeneo hayo hawajaridhia Paka waishi linazidi Kuwa ni Kero Katika baadhi ya maeneo ya hapa nchini.

Tumeshuhudia majumbani, mahospitalini, mahotelini, Bar, mashuleni, na sehemu nyingine Paka wasiyo na wenyewe wamekuwa wakiishi Katika maeneo hayo na kufanya baadhi ya vitendo visivyofaa kwa binadamu ambayo vimekuwa ni Kero kubwa na kuwakosesha raha binadamu.

Baadhi ya Paka Hao wasiyo na wenyewe wamekuwa wake wakiingia jikoni Kufunua surualia na kuamua kula vyakula vilivyopikwa bila ridhaa ya mhusika, pia Tumeshuhudia mahotelini,Bar,Mahospitalini Paka wamekuwa wakina pia vyakula Vya watu na kula .

Hali inayosababisha watu kuamua kumwaga hivyo vyakula, wengine kuacha kabisa Kwenye mahotelini, Bar ambazo zinakuwa na Paka Wengi ambao wanaosesha raha wateja wanaofika hapo kwaajili ya kupata huduma.

Inasemekana Kuwa baadhi ya Paka wamekuwa na magonjwa ambayo yanaweza kumwambukiza Binadamu jambo ambalo ni hatari kwa Afya ya binadamu ambayo hajalidhia Kuishi na Paka ndani.

Mimi Nikiwa ni Mwanadishi wa Habari nakiri Kuwa tatizo la Paka wasiyo na wenyewe kuzagaa mahospitalini, mahotelini, majumbani lipo ,nimejishuhudia na kunaleta Kero,wasiwasi kwamba nikamfukuza huyu Paka atanijeruhi.

Wapo watu Wengi wamejaribu Kuwategea sumu ,kuwa mwagia Paka Maji ya Moto, Kuwafukuza bila mafanikio namimi kwa mara Kadhaa nilijaribu kuchemsha Maji ya Moto kumwagia Paka Maji ya Moto ili ahame nyumba bila mafanikio.

Kwa siku Sita za wiki kila siku jioni lazima nifikie Katika Hoteli ya City Style Sinza ,Mugabe, kwaajili ya kufanya mazoezi nitashangaa kuona Paka zaidi ya 40 wakiwa wamekufa Katika eneo Hilo wanaokotwa wanaenda kuzikwa.

Nilifurahi sana kuona Paka wale waliokuwa wakizagaa Katika Hoteli ya City Style na kuiba vyakula Vya wateja na kubughudhi wateja wakiwa wamekufa .Ndiyo nikiwauliza wametumia kitu gani hadi wamefanikiwa kuwaondoa Dunia Paka wezi wale ambao walianza kuchafua sifa ya Hoteli ya City Style ambayo Inasifika sana kwa kupika Mboga aina ya Mnafu kwanini na Mimi ni Paka mwizi mmoja anaishi nyumbani bila ridhaa yetu na amekuwa wakituolea vitisho Vya kutukwaru,Mtemi, anaiba vyakula na kutuletea Kero?

Ndiyo Meneja wa Hoteli hiyo akaniambia tatizo langu limekwisha, akanipatia namba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya VHRH GEBERAL SUPPLIES CO , Andrew Mwombeki  0763024276 na 0652 902875. Ofisi yake ambayo inashughulika na mambo mengi ikiwemo hiyo ya kuua Paka na Makao makuu yake Mwenge eneo la Bamaga Dar Es Salaam.

18/7/2016 niliwasiliana kwa njia ya Simu na Mwombeki nikamweleza tatizo langu la kuumbuliwa Paka mwizi akaniambia tatizo limekwisha ,Jana jioni 19/7/2016 akifika nyumbani Sinza akasoma ramani ya nyumba ya Paka anapoingilia na kutokea, akatega nje hiyo dawa na akasema ni Kali sana Paka akila haitofika dakika 10 amekufa.

Leo alfajiri Tumeamka tumekuta Paka mwizi/ Mtemi aliyetukera kwa Miezi miwili sasa na kusababisha hata sebuleni tusikae tuwe Tunajifungia vyumbani Kwa kumuogopa amefariki pembeni mwa hiyo dawa aliyokula.

Hivyo Nawataka watu waondokane na dhana Kuwa Hakuna dawa ya kuua Paka, Dawa ya kuua Paka hipo Mimi nimethibitisha Hilo kupitia dawa inayotengenezwa na kutegwa  na Kampuni ya VHRH GEBERALSUPPLIES CO.

Kwa hiyo wanaotaji  kuwaua Paka wasiyo wahitaji wawasiliane na Mkurugenzi Wa Kampuni hiyo, Mr.Andrew Mwombeki kwa Namba za simu zifuatazo 0763024276 na 0652 902875

Chanzo: Facebook: Happy Katabazi 
20/7/2016.

No comments:

Powered by Blogger.