Header Ads

HAPPINESS NA BALOZI CHOKARA


Pichani nikiwa na rafiki yangu Balozi wa Tanzania nchini Urusi Patrick Chokala, nje ya Mahakama ya Rufaa Dar es Salaam, tukibadilishana mawazo.Picha hii ilipigwa Siku ya Sheria Tanzania Februari 4,2008 na mpiga picha Francis Dande.

3 comments:

Anonymous said...

Hongera mwenyeji wetu hapa kijijini,naona mambo ni mazuri mpe jina zuri mtoto km la kwako.

Anonymous said...

Happy kitumbo kimekupendeza! Hongera Bibie!

Rashid Mkwinda said...

Nikwambie ki2 dada Happy, hapa naona kama vile ulikuwa unaomba akupe namba yake ya cm uongo kweli? c unajua tena cku inaweza kutokea ndondokela ukaenda Urusi ukapata hifadhi kwa m2 wa nyumbani, okay mambo mengine vp naona umeuchuna kweli au umetishiwa kumwagiwa tindikali nini, yaani uko kimyaaaaa!!! au ndio kwa kuwa una miezi kadhaa tu tangu uzaliwe? so bado unanyonya ubwabwa wa shingo bado haujakutoka??

Powered by Blogger.