Header Ads

HAPPY BIRTHDAY PARTY YA QUEEN MWAIJANDE(7 YRS),2015ASANTENI

WOTE MLIOSHIRIKI KIROHO NA KIMWILI  KATIKA SHEREHE YA KUZALIWA KWA BINTI YANGU QUEEN MWAIJANDE 'MALKIA" JANA 8/ 6/2015 AMBAPO ALIKUWA AKITIMIZA UMRI WA MIAKA SABA ,NAMSHUKURU MUNGU TULIMALIZA SALAMA. PICHA ZAIDI TEMBELEA BLOGG :www.katabazihappy.blogspot.com , BY Happiness Katabazi, 9/6/2015.


No comments:

Powered by Blogger.