Header Ads

FM ACADEMIA WAACHIA WIMBO MPYA

Na Happiness Katabazi

WIMBO HUO UNAITWA 'DADA WEWE' ULIOTUNGWA NA MWANAMUZIKI MWENYE SAUTI INAYONITIAGA WAZIMU ,KING BLAISE ,UTAANZA KUSIKIKA RASMI KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA REDIO  LEO JIONI NA WIMBO HUU UTATAMBULISHWA KATIKA BIRTHDAY PARTY YA FM ACADEMIA BAND 18YRS , AGOSTI 21 MWAKA HUU ,KATIKA UKUMBI WA ARCADE HOUSE ,MIKOCHENI ,DAR ES SALAAM.

ANAYEUTAKA WIMBO HUU AWASILIANE NAMI KUPITIA WHATSUP KWA NAMBA 0716 774494 NITAMRUSHIA KUANZIA SASA.

PICHANI NI HAPPINESS KATABAZI NA MTUNZI WA WIMBO MPYA WA DADA WEWE, KING BLAISE.NAIPENDA SAUTI YA KINGBLAISE WALA SIFICHI.

By Happiness Katabazi
8/8/2015.
No comments:

Powered by Blogger.