KUZIKWA NA WATU WENGI SIO KWENDA MBINGUNI
UMATI uliomzika aliyekuwa Msanii maarufu wa filamu nchini,marehemu Steven Kanumba unatofauti gani na umati uliomshindikiza jana mgombea urais wa Chadema,Edward Lowassa?
Na ule umati wa uliojitokeza kwenye msiba,mazishi ya Kanumba unamsaada gani na familia ya Kanumba kipindi hiki?
Huo huo umati uliojitokeza kumsindikiza Lowassa kuchukua fomu ya urais jana katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) hautakua na msaada wowote pindi Lowasa atakaposhindwa urais Oktoba 25 mwaka huu.Na hivyo ndivyo itakavyokuwa.
Hivyo wingi wa watu katika maandamano na mikutano ya hadhara si hoja ya ushindi.
By Happiness Katabazi.
0716 774494
11/8/2015.
No comments:
Post a Comment