Header Ads

HAPPINESS & JENERALI MWAMUNYANGE


Nikiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Tanzania(JWTZ)Jenerali Davis Adolf Mwamnyange,muda mfupi baada ya kuapishwa na Rais Jakaya Kikwete,Ikulu Dar es Salaam, Septemba 15,2007. Picha na Mpoki Bukuku.

2 comments:

Anonymous said...

Kweli Mahakama zetu ni aibu tupu!! then watu ambao wanasema kuwa wanajifanya kufanya utawala wa sheria hawataki kuwekeza kwenye mahakama na vile Lakini wakati wa uchaguzi wanakuwa na pesa za Kufanya Kampeni ni kutoa mafulana yao.. Hivyo CCM inapaswa kuwajali mahakimu na watu wake hivyo na kujenga Majengo mazuri.. Hivyo watu hawa na waziri wa Sheria wanafanya nini?? Hivyo bajeti hiyo ya wizara ya Sheria inashia kufanya Washa na makongamano?? Hivyo wanategemea kufanya kesi kwenye majengo yaliyojaa Mapopo kibao na Mavi ya Mabundi... Hivyo Kweli mahakama zetu toka wakati wa ukoloni ndio hizo na Machine za manu kwenye kutype... Jamani Nyinyi CCM wajalini Mahakimu hao na familia zao. Tazama Sasa Misharaha yao.. Utashangaa na kuzimia kabisa. Hivyo unaweza kutegemea nini kama sio rushwa. Ni haki yao hata kupokea rushwa. Mbona wao wanapokea kupitia mikataba.
Josh Michael Colorado
marekani

Anonymous said...

The heading and cmment two different things how come?

Powered by Blogger.