KESI YA DK.MAHANGA YA KUGHUSHI VYETI VYA WALIMU YATUPWA
Na Happiness Katabazi
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar Es Salaam, imeifuta Kesi ya Madai ya kashfa iliyokuwa imefunguliwa na Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na maendeleo ya vijana, Dk. Makongoro Mahanga dhidi ya Mwanaharakati ,Kainerugaba Msemakweli na wenzake kwa Madai Kuwa alighushi vyenu Vya elimu, kwasababu Dk.Mahanga ameshindwa kutokea siku ya Kesi yake.
Mbali na Msemakweli wadaiwa wengine ni Mwandishi wa Gazeti la Nipashe, Muhibu Saidi , Mhariri Mtendaji wa Gazeti Hilo na Kampuni ya The Guardian Limited Waliokuwa wanatetewa na Wakili wa kujitegemea Michael Ngaro.
Uamuzi huo umetolewa na Jaji Salvatory Bongole Kesi hiyo Ya Madai Na. 145/2009 , ambaye Alisema Amefikia uamuzi huo kwasababu Wakili wa mlalamikaji Kennedy Fungamtama na mlalamikaji wamekuwa hawafiki mahakamani bila kutoa taarifa na kwamba kuna ushahidi unaonyesha wito wa wa Kuitwa Mahakama ulikuwa ukiwafikia kwa wakati.
Jaji Bongole alisema ametumia amri Tisa kanuni ya nane ya Sheria ya Madai ya Mwaka 2002 na kwamba Amemfutia Kesi hiyo kwa gharama.
Kwa mujibu wa hati ya Madai ,Dk.Makongoro alikuwa akiomba wadaiwa wamlipe jumla ya Fedha sh.Bilioni Tatu Kama faida ya madhara aliyoyafanya kutokana na Habari ya uongo iliyochapishwa na wadaiwa Katika Gazeti la Nipashe la Oktoba 19 Mwaka 2009 iliyokuwa na kichwa Cha Habari kisemacho " Vyeti Vya Elimu: Mawazir Sita wanasa".
Habari Hilo ilikuwa ikisomeka Kama ifuatavyo: " Mawaziri Sita na wabunge. Wa njem wametawanyika kuwamo Katika orodha ya watuhumiwa 19 waliomzushia Vyeti vyao Vya elimu ...wanasiasa hao Wametumia Vyeti Vya kughushi na Kuwasilisha Katika ofisi za umma kwamba sana elimu hio, kitu ambacho si kweli....Kuwasilisha Nyaraka za kughushi Katika ofisi ya umma ni kinyume Cha Ktiba na Sheria za nchi...Msemakweli aliwataja Manaibu Waziri, Dk.Makongoro Mahanga ( Kazi,Ajira na Maendeleo ya Vijana)....
" Vigogo Hao waliwaghilibu wananchi wa majimbo wanayowawakilisha na kuwafanya wa late UBUNGe na Mwana KWA kutumia shahada hizo za kujipachika, wamesema kuaminika na kupewa nafasi za kisiasa na kimya wala...Dk.Mahanga ameghushi Sita za Kuwa Ana shahada. Ya uzamivu (Daktari wa falsify) wakati hawawajui kusoma shahada hiyo wakati wowote na mahali popote Duniani".
Dk.Mahanga Alidai Habari hiyo ni ya uongo na ilikuwa na Lengo la kushuhudia heshima yake hasa ukizingatia yeye ni kiongozi wa juu serikalini na ni mwansiasa na wapiga kula wake wanamuamini hiyo Habari hiyo ili letter madhara makubwa na hivyo akaiomba Mahakama ikaamuru washitakiwa wamlipe fidia sh.bilioni Tatu na Gazeti la Nipashe n ichapishwe Habari ya kumwomba Radhi na itamke Kuwa Habari ili ya awali ilikuwa ni ya uzushi.
Chanzoz:Gazeti la Tanzania Daima la Jumanne, Julai 2 Mwaka 2014.
No comments:
Post a Comment