Header Ads

QUEEN KISSA MWAIJANDE


Pichani mtoto wangu Queen Mwaijande, akifurahia jambo muda mfupi baada ya kubatizwa katika Kanisa la Kiintili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Ubungo, Dar es Salaam, Desemba 26 mwaka 2008.Picha na Happiness Katabazi

4 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Wow!! Jamani mwana mwema na sina hakika ni kipi kilianza kati ya jina na yeye, lakini vyaendana maana ni Queen kwelikweli. Nami namtakia maisha mema, aendelee kukua kiroho nanyi wazazi wake mkiwa kama mfano kwake muendelee kuwa na maisha mema, maisha ya ucha Mungu na pia uajasiri katika kuikabili dunia ya sasa yenye kila aina ya ushawishi.
Be Good, Be Safe and Be Faithfull baby Queen.
Happy New Year to you all

Anonymous said...

sweet! DADA UMEJALIWA KABINTI KAZURI, NAMTAKIA AFYA NJEMA.

Anonymous said...

Hongera sana, kamependeza sana.

Christian Bwaya said...

Picha nzuri. Nimefurahi kupitia humu. Nikutakie kila lililojema kwa mwaka huu wa 2009.

Powered by Blogger.