Pichani mtoto wangu Queen Mwaijande, akifurahia jambo muda mfupi baada ya kubatizwa katika Kanisa la Kiintili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Ubungo, Dar es Salaam, Desemba 26 mwaka 2008.Picha na Happiness Katabazi
QUEEN KISSA MWAIJANDE
Reviewed by MS.HAPPINESS KATABAZI
on
3:56 PM
Rating: 5
Wow!! Jamani mwana mwema na sina hakika ni kipi kilianza kati ya jina na yeye, lakini vyaendana maana ni Queen kwelikweli. Nami namtakia maisha mema, aendelee kukua kiroho nanyi wazazi wake mkiwa kama mfano kwake muendelee kuwa na maisha mema, maisha ya ucha Mungu na pia uajasiri katika kuikabili dunia ya sasa yenye kila aina ya ushawishi. Be Good, Be Safe and Be Faithfull baby Queen. Happy New Year to you all
4 comments:
Wow!! Jamani mwana mwema na sina hakika ni kipi kilianza kati ya jina na yeye, lakini vyaendana maana ni Queen kwelikweli. Nami namtakia maisha mema, aendelee kukua kiroho nanyi wazazi wake mkiwa kama mfano kwake muendelee kuwa na maisha mema, maisha ya ucha Mungu na pia uajasiri katika kuikabili dunia ya sasa yenye kila aina ya ushawishi.
Be Good, Be Safe and Be Faithfull baby Queen.
Happy New Year to you all
sweet! DADA UMEJALIWA KABINTI KAZURI, NAMTAKIA AFYA NJEMA.
Hongera sana, kamependeza sana.
Picha nzuri. Nimefurahi kupitia humu. Nikutakie kila lililojema kwa mwaka huu wa 2009.
Post a Comment