Header Ads

MAHAFALI YA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB).YALIVYOFANA.MAKAMU WA RAIS WA TANZANIA DK.GHARIB BILAL ALIKUWA MGENI RASMI

HAPPINESS KATABAZI Mwandishi wa Habari za Mahakamani wa Gazeti la Tanzania Diama alikuwa ni miongoni mwa WAHITIMU Katika mahafali hayo ya kwanza KIHISTORIA ya chuo kikuu Cha BAGAMOYO (UB),yaliyofanyika Katika UKUMBI wa Makumbusho ya Taifa Dar es Salaam,DEsemba 7 Mwaka 2013 AMBAPO Makamu wa Rais Tanzania,Dk.Mohammed Gharib Bilal alikuwa mgeni rasmi. Katika picha mbalimbali anaoneka Happiness Katabazi akipewa mkono wa pongezi na Makamu wa Rais Dk.Bilal.Kwani Happiness alitangazwa Kuwa mwanafunzi aliyofanya vizuri kuliko wanafunzi wote kwa ngazi ya Stashahada a Sheria.katabazi HIvi sasa ni mwanafunzi wa shahada ya Sheria ya chuo hicho Cha UB.
Powered by Blogger.