SIKU NILIPOHITIMU KOZI YA USALAMA NA UTAMBUZI...
Mwandishi wa Habari za Mahakamani wa Gazeti la Tanzania Daima, Happiness Katabazi akipokea cheti kutoka kwa Ofisa wa The  Protection Desk of Uganda, Yona Wanjala  baada ya kuhitimu mafunzo ya  Usalama na Utambuzi wa Mazingira hatarishi kwa  watetezi wa haki za binadamu yalifofanyika katika Hoteli ya East African All Suit, mkoani Arusha, mwishoni mwa wiki.Mafunzo hayo yaliandaliwa na kufadhiliwa na The Protection Desk Of Uganda. (Picha na Mpiga Picha).
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment