'VIROBA' VYA WAFIKISHA KORTINI
Na Happiness Katabazi
WAFANYABIASHARA Wawili Jana walifikishwa Katika Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam , wakikabiliwa na kosa Moja la kuuza Katoni 216 za Pombe halisi Maarufu "Viroba" zinazoonyesha zimetengenezwa na kampuni ya Mega Trade Ltd , jambo AMBAlo sio kweli.
Wakili Mwandamizi wa serikali, Joseph Mahugo ya Hakimu Mkazi Augusta Mbando akiwa taja washitakiwa Hao Kuwa ni Elizabeth Masawe na Frank Rudika na kwamba Novemba Mwaka 2011 walikamatwa na Viroba hivyo huko eneo la Keko Magurumbasi Jijini Dar es Salaam kinyume na Sheria Ya Bidhaa iliyofanyiwa marekebisho No.5 ya Mwaka 2005 na kwamba Kwamba upelelezi wa Kesi hiyo bado haujakamilika na washitakiwa walikanusha Shtaka
Hakimu Mbando Alisema ili mshitakiwa speed DHAMANA nilazima awe na mdhamini wa huakika atakaye SAINI BONDO ya sh. Milioni tano, Shari AMBAlo lilitimizwa na washitakiwa Hao na wakapata DHAMANA na Kesi hiyo imearishwa hadi Aprili 4 Mwaka huu, itakapokuja kwaajili ya kutaka.
Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Alhamisi, Machi 13 Mwaka 2014
No comments:
Post a Comment