Header Ads

DK.MAGUFULI,SAMIA WAAPISHWA LEO


YAMETIMIA LEO

Happiness Katabazi

Dk.John Magufuli "Mchunga Ng'ombe' amekula kiapo cha Rais na Samia Suluhu kala kiapo Makamu wa Rais.Mungu awaongoze Katika majukumu yenu mapya ya kuliongoza taifa hili.Sherehe za kuwaapisha zimefana.

Kwa hiyo kuanzia Leo rasmi Dk.Magufuli ni Rais na Samia ni Makamu wa Rais.Sasa Mkachape Kazi mliyoomba na mkapewa na Watanzania. 5/11/2015.

No comments:

Powered by Blogger.