RASMI:
Dk.John Magufuli (CCM) kura 8,882,935 sawa na 58.46% na Edward Lowasa (Chadema) kura 6,672,848 sawa na 39.97%. Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Leo imemtangaza rasmi Dk. Magufuli amechaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kila la heri Rais Magufuli. #HapaKaziTu
29/10/2015.
No comments:
Post a Comment