RAIS KIKWETE AMTEMBELEA MKE WA DK.MVUNGI
Na Happiness Katabazi.
Rais Jakaya Kikwete na Mkewe Salma Kikwete Jana walifika nyumbani kwa marehemu Dk.sengondo Mvungi kwaajili ya kuani msiba.
Rais kikwete walifika nyumbani kwa Marehemu saa Sita mchana na kupatiakana fursa Kumpa pole Mke wa Marehemu Anna Mvungi na kuwachafua pole wananch wa Kama to faith walifika nyumbani kwa Marehemu kibamba majohe.
Hata hivyo rais Kikwete akuzungumza chochote zaidi yakekuonekana ni Mwenye uzuni.na Kisha aliondoka na kupelekea Kwenye majukumu mengine ya ujenzi wa taifa
Baadhi ya viongozi na watu awalikuwepo msibani hapo na waliokuwa wakimfahamu Dk.mvungi akiwemo rafiki yake ambaye ni mjumbe mwenzake wa time ya mabadiliko ya Katika na Mwenyekiti wa bodi ya chuo kikuu cha UB, Profesa Paramaganda Kabudi
Alisema Marehemu alikuwa ni MTu miwili, siyo mnafki na Aliyekea akisimamia kill alichokiami.
"Dk.mvungi alikuwa mean disk mwenzangu Katika Gazeti la mzalendo,pia alikuwa ni mc wa Harusi yangu na Balozi costa MAHALU alikuwa ni Dereva wa Gari la Harusi yangu...Marehemu alikuwa akiwapenda na kuwaheshimu watu wa kariba zote hakuwa na tamaa ya Mali wala madara alikuwa ni MTu aliyejitoa kusaini watu, taifa limepoteza MTu minimum"Alisema Profesa kabuki ambaye n I msomi wa Sheria.
Kwa upande wake naibu waziri wa Sheria na kariba Angela Kairuki Alisema Dk.Mvungi Alikuwa ni gwiji la Sheria nchini ambaye alifutiwa taaluma yake kusaidia wengine,
Naye Makamu Mkuu wa chuo Kikuu cha Bagamoyo,Profesa Costa Mahalu alisema amesikitishwa na kifo hicho Kwani Mvungi ni Mdogo wake kiumri na kwamba yeye na Marehemu Ndiyo walioanzisha wazo la kuanzisha chuo kikuyu Bagamoyo.
"Kwaniaba ya UB ,napenda kutoa pole kwa taifa na familia ya Marehemu kwa kumpoteza Mtu muhimu kweli"" Alisema Profesa Mahalu.
Naye Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia Alisema Mwili wa Dk.mvungi unatarajiwa kuletwa nchini Kesho kutokea nchini Afrika Kusini na Jumamosi asubuhi itafanyika misa ya kumuombea mahemu itakayofanyika katika kanisa la St.Joseph na itakapofika saa sita mchana mwili huo utatolewa heshima mwisho katika viwanja vya Karemjee na kisha mwili huo kwenda kuifadhiwa nyumbani kwake Kibamba na itakapofika Jumapili asubuhi mwili utasafiishwa Kwenda Kisangara juu Upareni wilayani Same kwaajili kuzikwa , Jumatatu ijayo.
Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Alhamisi, Novemba 14 Mwaka 2013
No comments:
Post a Comment