Header Ads

SINA UKIMWI: KAPUYA

Na Happiness Katabazi MBUNGE wa jumbo la Urambo Magharibi Profesa JUMA Kapuya amekanusha Madai yote yaliyochapishwa na Gazeti hili juzi na kwamba yeye siyo mwathirika wa ugonjwa wa ukimwi. Profesa Kapuya alikanusha Madai hayo kupatia Wakili wake Yasin Membar Jana ofisini kwake kupatia mkutano wake na waandishi wa Habari. Wakili Membar Alisema mteja wake Kapuya amemtuma aje aje aueleze umma kupatia yeye Kuwa kwanza hamfahamu Huyo mtoto anayedaiwa Kuwa Anaumri china ya Miaka 18 Kuwa alimbaka na kumuambukiza ukimwi. pili , Kapuya Amedai Gazeti la Tanzania Daima hakimu la Haki yak ya Msangi hakumsikiliza Kabla ya kuchapisha tuhuma dhidi yake Kwani Kimsingi mwandishi wa Habari yoyote anatakiwa Kabla ya kuchapisha Habari inayomhusu MTu mwingine, basi mwandishi wa Habari analazimika kumtafuta anayetuhumiwa ili naye atoe maelezo yake lakini Tanzanzia Daima limeshindwa juzi kuzingatia kanuni hiyo na Matokeo yake likachapisha Habari hiyo . Wakili Membar Anadai mteja wake Kapuya amemueleze Kuwa Habari ile imemletea madara na Usumbufu mkubwa Katika familia yake, Jamii na kumvunjia heshima yakekuonekana kwasababu hiyo mteja wake amemuelekeza niwapatie siku Saba Gazeti la Tanzania Daima, Mitandao ya kijamii ukiwemo Mtandao wa Jamii Forum, Justina John na Vituko Mtaani ambayo vimechapisha Habari hivyo viombe Radhi kwa uzito ule ule AMA siyo atavishitaki mahakamani. "Kama hawataomba Radhi basi tuta fungua Kesi mbili Moja ni kwaajili ya Gazeti la Tanzania Daima na hiyo Mitandao ya kijamii na Kesi ya pili ni ya kuhusu Huyo mtoto anayedaiwa mteja Wangu Kapuya amembaka na kumuambukiza ukimwi...tunataka Huyo mtoto aje Mahakamani aje athibijishe aliambukizwaje Ukimwi na mteja Wangu maana mteja Wangu kanieleza yeye hamfahamu Huyo mtoto na wala Hana ukimwi" Alisema Wakili Membar. Hata hivyo Wakili Membar Alisema mteja wake anaomba umma uelewe Habari hiyo iliyochapishwa na Gazeti la Tanzania la juzi haiusiani na Chama Cha mapinduzi wala serikali. Chanzo:Gazeti la Tanzania Daima la Jumamosi, Novemba 15 Mwaka 2013

No comments:

Powered by Blogger.