Header Ads

HAPPY BIRTHDAY HAPPINESS KATABAZI ' Waukweli ukwelii'
HAPPY BIRTHDAY HAPPINESS KATABAZI ' Waukweli ukweli'.

MIMI Happiness .T.Katabazi Leo Disemba 25 mwaka 2014 nasherehekea siku yangu ya kuzaliwa ambapo natimiza umri wa Miaka 36. Namshukuru Mungu kwa kunipa Afya njema na uhai hadi Leo hii nimeweza kutimiza umri huu.

 Hakuna  ubishi Kuwa kuna baadhi ya watu wakiwemo waliokuwa marafiki,ndugu na Jamaa zangu walitamani wafikishe umri Kama wangu lakini hawakuweza kwa Sababu ya kifo. 

Lakini Mungu wewe kwa Neema zako umenipa fursa Mimi ya kunifikisha siku ya Leo ambayo nimeongeza umri ambao ni Ishara kwamba Tayari uzee umeanza kupiga hodi.  Nakushuru sana na sitaacha kukuabudu.Nawashukuru wazazi wangu walionizaa na kunilea.Nakushukuru Mzee wa Mujini, Katabazi kwa kunichinjia Mbuzi.

Nawashukuru wale wote walionitumia zawadi, salamu za pongezi  Katika siku ya Kukumbuka kuzaliwa kwangu leo kwani mimi Happiness  ni 'Kama Yesu' maana nimezaaliwa tarehe Moja na Yesu. Naomba Mungu unipe subira,Hekima  na busara na kudumu Katika njia zako.

Tarehe ambayo Dunia mzima inasherehekea siku hiyo kila Mwaka.  Namshukuru sana Mungu kwa kunileta Dunia tarehe hii ambayo ni tarehe aliyezaliwa Yesu Kristo.Ni watu wachache tuliopata bahati ya Kuzaliwa Disemba 25 ,tarehe ambayo alizaliwa Yesu.

By Happiness Thadeo Katabazi
Ofisa Habari Chuo Kikuu Cha Bagamoyo(UB). 
No comments:

Powered by Blogger.