HUKUMU KESI YA SHEIKH PONDA YAAIRISHWA
Hukumu ya kesi ya jinai Na.128/2013 inayomkabili Sheikh Ponda Issa Ponda imearishwa kutolewa na Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Hakimu Mkazi Morogoro ,Mary Moyo kwasababu hukumu hiyo bado hajaiandaa na ana matatizo ya kiafya hivyo hukumu hiyo ataitoa Novemba 18 mwaka huu.By Happiness Katabazk.19/10/2015.
No comments:
Post a Comment