Header Ads

JAJI FRANCIS MUTUNGI KATIKA MSIBA WA MTIKILA

JAJI MTUNGI KATIKA MSIBA WA MTIKILA

Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi,Msajili Msaidizi wa vyama  Sistyl Nyahoza   ,  Mwenyekiti wa Chama cha (UPDP),  Fahmi Nasoro Dovutwa, Peter Kuga Mziray (APPT),Mwenyekiti wa (CCK), Constantine Akitanda ,Ofisa Habari wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB), Happiness Katabazi wakiwa nyumbani kwa marehemu Mchungaji Christopher Mtikila Mikocheni karibu na Shule ya Msingi Ushindi,Dar Es Salaam ,leo Kuja kuwapa pole wafiwa.( Picha na Happiness Katabazi 4/10/2015




No comments:

Powered by Blogger.