MKE WA MTIKILA ANALIA SANA
TUMUOMBEE KWA MUNGU MKE WA MAREHEMU MCHUNGAJI CHRISTOPHER MTIKILA ,GEOGIA AMPE NGUVU,UVUMILIVU NA AKUBALI KUWA MUMEWE AMBAYE ENZI ZA UHAI WA MAPENZI YAO WALIKUWA WAKIPENDA KUITANA JINA LA DARLING AMEFARIKI KWELI.NAIBU MEYA WILAYA KINONDONI,SONGORO MNYONGE NI MIONGONI MWA VIONGOZI WALIOFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU MIKOCHONI KARIBU NA SHULE YA MSINGI YA USHINDI.MWILI WA MAREHEMU MTIKILA HADI SASA UPO HOSPITALI YA TUMBI . By Happiness Katabazi. 4/10/2015
No comments:
Post a Comment