Header Ads

PICHA ZA RUFAA YA DPP V ZOMBE


Wakili Mwandamizi wa Serikali Angaza Mwipopo akisalimiana ACP-Abdallah Zombe leo asuhubi ndani ya Mahakama ya Rufaa


 Hii ndiyo timu ya mawakili waandamizi wa serikali katika rufaa ya Zombe
Timoth Vitalis, Edwin Kakolaki,Angaza Mwipopo,Prudence Rweyongeza,Alexander Mzikilia,Mgaya Mtaki na Peter Njike, wakiwa ndani ya ukumbi wa mahakama ya rufaa Dar es Salaam, lakini hata hivyo rufaa hiyo haikuweza kusikilizwa kwasababu jaji mmoja anayeunda jopo la majaji wa tatu anaumwa.


 

Zombe akiwa na wakili wake Richard Rweyongeza  leo katika mahakama ya rufaa Dar es Salaam.

Happiness Katabazi nikiwa Zombe leo asubuhi mahakama ya rufaa

No comments:

Powered by Blogger.