Header Ads

HAPPY BIRTHDAY UNIVERSTY OF BAGAMOYO (UB)-2013


KEKI MAALUMU KWA AJILI HAPPY BIRTHDAY YA  CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB). ,UB, KIMETIMIZA MIAKA MIWILI TANGU KIANZISHWE.NA HAFLA YA BIRTHDAY HIYO IMEFANYIKA KATIKA MAKAO MAKUU YA CHUO HICHO YALIYOPO MIKOCHENI KWA WARIOBA,JIJINI DAR ES SALAAM, SEPTEMBA 24 MWAKA 2013.NA MAKAMU MKUU WA CHUO HICHO, PROFESA COSTA RICKY MAHALU ALIWAONGOZA WATUMISHI WA CHUO HICHO KUKATA NA KULA KEKI HIYO ILIYOTENGENEZWA NA MWANAFUNZI WA FANI YA SHERIA WA CHUO HICHO NA MWANDISHI WA HABARI ZA MAHAKAMANI WA GAZETI LA TANZANIA DAIMA , HAPPINESS KATABAZI.

PROFESA COSTA MAHALU AKIWAONGOZA WAHADHIRI NA WATUMISHI WA (UB), KUKAKATA KEKI KATIKA BIRTHDAY YA CHUO HICHO.
MKUU WA KITIVO CHA SHERIA CHA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO(UB), DK.NATUJWA MVUNGI AKIKATA KEKI HIYO YA BIRTHDAY YA UB.


MAKAMU WA CHUO KIKUU CHA BAGAMOYO PROFESA COSTA MAHALU AKILISHWA KEKI NA MKUU WA KITIVO CHA SHERIA CHA CHUO HIYO, DK.NATUJWA MVUNGI.NYUMA NI MHADHIRI WA SHERIA WA CHUO HICHO,HAWA JUMA.

NAIBU MAKAMU MKUU WA UB, DK.WILLIAM KUDOJA AKILISHWA KEKI NA MKUU WA KITIVO CHA SHERIA CHA UB, DK.NATUJWA MVUNGI.


MKUU WA KITIVO CHA SAYANSI UB, ROSE FUNJA AKIMLISHA KEKI HIYO MHADHIRI MWANDAMIZI WA UB, DK.MTARO.

DK.NATUJWA MVUNGI AKIMLISHA KEKI HIYO MWANAFUNZI WAKE WA SHERIA ,HAPPINESS KATABAZI.

HAPPINESS KATABAZI AKIWA NA MAOFISA WA UB.
HAPPINESS KATABAZI(KUSHOTO) NA MWALIMU WAKE WA SHERIA, DK.NATUJWA MVUNGI.MPISHI WA KEKI YA BIRTHDAY OF BAGAMOYO, HAPPINESS KATABAZI
KUSHOTO NI RAFIKI WA UB, AMBAYE NI MKUU WA WILAYA MSTAAFU, MTAMBALIKE NA KATIKATI(HAPPINESS KATABAZI), KULIA NI PROFESA MAHALU.NAYE ALIUDHULIA HAFLA HIYO NA ALILISHWA KEKI.


KEKI YA HAPPY BIRTHDAY UNIVESTY OF BAGAMOYO (2YRS), SEPTEMBA 24, 2013. (PICHA ZOTE ZIMEPIGWA NA FRANCIS DANDE).

No comments:

Powered by Blogger.