Header Ads

UNIVERSITY OF BAGAMOYO STAFF PICTURE

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB), Dk.William Kudoja
Mkuu wa Kitivo cha Sheria cha Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB), Dk.Natujwa Mvungi.


Mkuu wa Kitivo cha Sayansi cha Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB), Rose Funja.


Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB), Profesa Costa Ricky Mahalu

Kushoto aliyekaa chini ni mwanafunzi wa fani ya Sheria wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB), Happiness Katabazi ambaye ni Mwandishi wa Habari za Mahakamani wa Gazeti la Tanzania Daima,  Mkuu wa Kitivo cha Sheria Dk.Natujwa Mvungi,rafiki wa Chuo hicho, ambaye ni Mkuu wa Wilaya Mstaafu, Mtambalike, waliyosimama kulia ni Makamu Mkuu wa UB, Profesa Costa Mahalu,Dk.Mtaro,Naibu Makamu Mkuu wa UB, Dk.William Kudoja na Mkuu wa Kitivo cha Sayansi (UB), Rose Funja.


Wafanyakazi wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB).katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Costa Mahalu.(Picha hizi zimepigwa Septemba 24 mwaka 2013. wakati wa UB, ikiazimisha miaka miwili tangu kianzishwe.Picha zote na Francis Dande).


3 comments:

Thomson Mboya said...

Time is now, congratulation Staff members for the good work you have done. May the lord be with you all

Thomson Mboya_University of Bagamoyo
Department of Psychology & Philosophy

THOMSON MBOYA said...

Time is now, congratulation Staff members for the good work you have done. May the lord be with you all

Thomson Mboya_University of Bagamoyo
Department of Psychology & Philosophy

Anonymous said...

New Family, New Environment, New Experience...Keep it up.

Barnabas A. L
MSc ICT University of Bagamoyo

Powered by Blogger.