Header Ads

KATABAZI VS MUTUNGIHappiness Katabazi nikiwa na Msajili wa Mahakama ya Rufaani nchini, Francis Mutungi leo asubuhi katia Mahakama ya Rufaa, muda mfupi baada ya Jaji Mkuu Mohamed Chande Othaman kuanza mkutano wake na waandishi wa habari ambapo, alisema siku ya Sheria itafanyia nchini Februali 3 mwaka huu, kesho na Rais Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi.

No comments:

Powered by Blogger.