Header Ads

HAPPY BIRTHDAY QUEEN MWAIJANDE(5) 'MALKIA', JUNI 8/2013

 
Happiness Katabazi(Lawyer is the Making) nikiwa na mwangu Queen.Leo Juni 8 mwaka 2013 ,nyumbani kwetu Sinza 'C' Mugabe,Dar es Salaam, katika tafrija fupi ya Birthday ya mwangu Queen ambaye ametimiza umri wa miaka (5). Picha zote na Dande Junior wa Gazeti la Tanzania Daima.Nguo zimeshonwa na Fundi Victor. Na tumepambwa na Rukia Saloon iliyopo Sinza Mugabe, inayomilikiwa na Rukia Milanzi.


Wakicheza muziki kwenye Birhday ya Queen  leo Juni 8 mwaka 2013.
Nikiwa na mdogo wangu Adelta, Mwanafunzi wa Kozi ya Uandishi wa Habari katika Chuo Cha TSJ, huyu ndiye alikuwa mhasibu wa Birthady ya Queen. 'Malkia'
Keki ya Queen

Happiness Katabazi nikiwa na mwanangu Queen katika hafla hiyo
 Happiness Katabazi 'Wa ukweeeeeeeee'


Wapenzi wa Mavazi ya Vitenge kama mimi Happiness,chukueni mshono huu.Nimeshonewa na Fundi wangu Victor.Nikiwa kwenye Birthday ya mwangu Queen ,leo jioni Juni 8,alipotimiza miaka mitano.
Queen akinilisha keki.
Happiness Katabazi (Katikati) nikiwa na wadogo zangu kwenye hafla hiyo kushoto ni Honesta (Kulia) Diana Katabazi

Happine na Queen kwenye Birthday ya Queen (5) leo jioni.
Maswahiba wa Queen wakipata msosi.
Happiness Katabazi, katika awamu ya pili ya Birthday ya Queen.
Happiness Katabazi ' Waukweli ukweli'.
Happiness Katabazi'Kiafrika zaidi'


Tukiingia ndani na Queen tukitokea Rukia Saloon inayomilkiwa na Rukia Milanzi ,Sinza mugabe. Tayari kwaajili ya kuanza hafla ya Malkia.No comments:

Powered by Blogger.