TUMEFUZU MAFUNZO HABARI ZA UCHUNGUZI(IJ)

Nikiwa na waandishi wa habari toka vyombo Tanzania Bara na Visiwani, kwenye picha ya pamoja baada ya kuitimu mafunzo ya habari za uchunguzi(IJ)yaliyofanyika Juni 14-18 mwaka huu, Zanzibar Ocean View Hoteli, Zanzibar ambayo yaliandaliwa na Umoja wa Mataifa(UN-Tanzania), UNESCO na Kuratibiwa na Shule ya Uandishi wa Habari na Mawasiliano ya Umma ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(SJMC).
No comments:
Post a Comment