Header Ads

WAPIGANAJI MMETUONA!!!!


Kushoto ni mimi (Happiness) na Mhariri wa Gazeti la Mwanahalisi, Jabir Idrisa tikibalishana mawazo muda mfupi baada ya kuitimu mafunzo hayo ya habari za uchunguzi(IJ) yaliyofanyika katika hoteli ya Zanzibar Ocean View iliyopo Zanzibar.

1 comment:

Rama Msangi said...

aisee, long time sijaonana ana kwa ana na Jabir...duh!! naona anazeeka sasa

Powered by Blogger.