
Mke wa Makamu wa Rais Mama Asha Bilal, akiwa na  zawadi ya mpira aliokabidhiwa na waratibu wa maonyesho ya  Kazi za Wake wa Mabalozi ya kuchangisha fedha kwa ajili ya kusaidia watu wasiojiweza yaliyoandaliwa na Kikundi cha Wake wa Mabalozi yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Shule ya Tanganyika International Masaki jijini Dar es Salaam leo Nov 20. Mpira huo ulikuwa na Ujumbe usemao ‘USIMPIGE MWANAMKE PIGA MPIRA’. Picha na Muhidin Sufiani
 
No comments:
Post a Comment