Header Ads

MAPAPARAZI TUKISUBIRI HUKUMU YA KESI YA NG'UMBI vs MNYIKA

Kulia ni Regina Kumba wa (Habari Leo),katikati ni Happiness Katabazi(Tanzania Daima) ndani ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, leo tukimsubiri Jaji Upendo Msuya asome hukumu ya kesi ya kupinga ubunge wa mbunge wa jimbo la Ubungo(Chadema),John Mnyika iliyofunguliwa na aliyekuwa mgombea wa CCM,Hawa Ng'umbi.Jaji Msuya alitupilia mbali madai ya Ng'umbi na kumtangaza Mnyika kuwa ndiye mbunge halali wa jimbo hilo.(Alhamisi,Mei 24 mwaka 2012)

No comments:

Powered by Blogger.