Header Ads

MAPAPARAZI WA MAHAKAMA:ACP-KENYELA KARIBU TENA KORTI YA KISUTU


Kushoto, Happiness Katabazi Mwandishi wa Gazeti la Tanzania Daima na (kulia) ni mwandishi wa Gazeti la Uhuru, Furaha Omar, tukiwa tumepiga picha ya kumbukumbu na ACP-Charles Kenyela, jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, iki ni sekunde chache baada ya (njagu) huyo kufika katika mahakama hiyo kwa shughuli za kikazi alilakiwa kwa furaha na waandishi wa habari za Mahakamani.
Awali Kenyela ndiye alikuwa Mkuu wa Waendesha Mashitaka Kanda ya Dar es Salaam lakini hivi sasa ameamishiwa Makao Makuu ya Polisi Kanda Polisi jijini, kama Mkuu Kitengo cha Fedha.(Picha imepigwa Juni 16,2009)

1 comment:

Rashid Mkwinda said...

Mama Kissa umekuwa mvivu kupandisha commnet siku hizi!!!!gangamala mamaaa umekuwa mzee nini????mbona hivyo kwani Kissa si ameshaacha kunyonya!!!!

Powered by Blogger.