Header Ads

THE GLOBAL BUSINESS ROUNDTABLE YAZINDULIWA TANZANIA


 
 
 
 THE GLOBAL BUSSINESS ROUNDTABLE: Katabazi nikiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Bagamoyo(UB),Profesa Costa Mahalu jana katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam, katika hafla ya uzinduzi wa The Global Bussiness Roundtable yenye makazi yake Afrika Kusini, ambapo jana ilizinduliwa rasmi hapa Tanzania ambapo Rais Mstaafu Benjamin Mkapa ndiye alikuwa mgeni rasmi na katika hotuba yake aliwataka washiriki walioshiriki hafla hiyo ya Kihistoria kuakikasha wanajaili na kutoa majawabu ya ni jinsi gani wafanyabiashara wadogo hasa katika sekta ya kilimo wanasaidi kufikia kuwa wawekezaji wakubwa katika sekta ya kilimo, biashara na viwanda.
 
 
 
 
 
 
 
Happiness Katabazi aliyesimama ni  dada Grace Martin tukijadiliana masuala mbalimbali kabla ya hafla ya uzinduzi wa  The Global Bussiness Roundtable kuanza jana usiku katika Hoteli ya Serena Dar es Salaam.

No comments:

Powered by Blogger.