Header Ads

MUTUNGI &UTAMWA-TUTACHAPA KAZI


Kulia ni Msajili mpya wa Mahakama ya Rufani Tanzania, Francis Mutungi na Msajili Mpya wa Mahakama Kuu nchini, John Utamwa, wakicheka kwa furaha muda mfupi baada ya kumalizika kwa sherehe ya kuapishwa kwa Utamwa kushika wadhifa huo jana na Jaji Kiongozi,Fakhi Jundu, katika sherehe fupi iliyofanyika katika ukumbi namba moja wa Mahakama ya Rufani Dar es Salaam. Utamwa pia ndiye kiongozi wa jopo la Mahakimu Wakazi wanaosikiliza kesi ya matumuzi mabaya ya ofisi ya umma inayomkabili aliyekuwa Waziri wa Fedha, Basil Mramba.(Picha hii imepigwa leo Agosti 5,2009)

No comments:

Powered by Blogger.