Header Ads

WAANDISHI TUKISUBIRI HUKUMU YA KESI YA ZOMBE




Waandishi wa habari za mahakamani nchini wakiwa katika ukumbi namba moja wa Mahakama Kuu Dar es Salaam, wakimsubiri kwa shauku kubwa Jaji wa Mahakama ya Rufani,Salum Massati aingie ukumbi namba moja kuisoma hukumu ya kesi ya mauji iliyokuwa ikimkabili aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Dar es Salaam (ACP)Abdallah Zombe na wenzake nane.Wa kwanza kushoto mwandishi wa gazeti la Mtanzania,Primtiva Pancras,gazeti la (Mwananchi)James Magai,(The Citzen)James Bernad,(The African)Charles Chanzi na wa kwanza kulia (Tanzania Daima)Happiness Katabazi. (Picha imepigwa leo Jumatatu Agosti 17, 2009)

No comments:

Powered by Blogger.