TASWIRA YA MKUTANO MKUU WA SACCOS YA POLISI MOROGORO
Mwenyekiti
wa Bodi URA SACCOS, Kamishina
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP),
Jonas N. S. Mugendi, aliyesimama, akitoa mada mbele ya wajumbe na
wanachama wa Bodi hiyo walipokutana katika mkutano wa tano wa mwaka
unaofanyika mkoani Morogoro, Kutoka kushoto Mkurugenzi wa Rasilimaliwatu
Wizara ya Mambo ya Ndani, Bi.
Lilian Lamek, akifuatiwa na Mkuu wa Utawala Wa Jeshi la Polisi,SACP
Thobias Andengenye, na wengine kutoka kushoto ni Kamanda wa Polisi mkoa wa
Morogoro, Faustine Shilogile, Awadhi Chicco, ambaye sasa amestaafu na Kamishina Msadizi (ACP), Alli Omar All.(Picha na
Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi Morogoro.
- Mkurugenzi wa Rasilimali watu Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchi, Bi. Lilian Lamek, akizungumza na Wajumbe na Wanachama wa Bodi ya URA SACCOS, ambao hawapo pichani wakati akifungua mkutano wa tano wa mwaka unaofanyika mkoani Morogoro.(Picha na Demetrius Njimbwi wa Jeshi la Polisi Morogoro)



No comments:
Post a Comment