Header Ads

HAPPINESS KATABAZI: YANGA OYEEEEEEEEEEEEE

Happiness Katabazi nikiwa ndani ya Rukia Saloon, Sinza Mugabe huku nikiwa na furaha baada ya Mechi ya Simba na Yanga kumalizika leo jioni na Yanga kutangazwa mshindi baada ya kuifunga timu ya Simba mabao mawili kwa bila.Poleni watani wangu Simba.(Mei 18 mwaka 2013)

No comments:

Powered by Blogger.