DPP-DK.FELESHI AUKWAA UDAKTARI WA SHERIA

Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP),Dk.Eliezer Feleshi (kushoto), Dk.Zakayo Lukumai (Kulia) wakifurahia jambo na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo (katikati), muda mfupi baada ya kutunukiwa Shahada ya Juu ya Uzamivu (PhD). ya Sheria katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, hivi karibuni.Picha na Happiness Katabazi
No comments:
Post a Comment