Header Ads

OTIENO IGOGO AKIHOJIANA NA MWANDISHI


Pichani nikiwa na Rais wa Chama Cha Mawakala wa Forodha Tanzania(TAFFA) Otieno Igogo, nilipokuwa nafanya nae mahojiano maalum ofisini kwake juzi, kuhusu mtizamo wa chama chao kuhusu uamuzi wa Mamlaka ya Bandari(TPA) wa kupandisha gharama za utunzaji wa makontena kwa asilimia mia moja.(Picha na Francis Dande)

No comments:

Powered by Blogger.