Header Ads

HAPPINESS NA WABEIGIN WA JWTZ


PICHA nikiwa na Wanajeshi wanawake 20 waliomo kwenye Kikosi cha Wanajeshi 875 wa JWTZ, ambao wanatarajiwa kwenda Darfur-Sudan kwaajili ya kulinda amani.Picha hii nilipiga nao Machi 31, 2009, Kambini Msata-Pwani, siku hiyo ndipo ilifanyika hafla ya kuwaaga wanajeshi hao na Msuluhishi wa mgogoro wa Darfur, Dk.Salim Ahmed Salim, aliwafunda.(Picha na Yasin Kayombo)

No comments:

Powered by Blogger.