Header Ads

HIKI NDICHO KIKOSI CHA JWTZ KINACHO KWENDA KULINDA AMANI DARFUR


KULIA ni Mkuu wa Kikosi cha Wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi(JWTZ),Luteni Kanali Alli Mzee Katinde, akitoa maelekezo kwa wanajeshi hao katika uwanja wa mazoe kwenye Kambi ya Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Msata-Bagamoyo, Machi 31 mwaka huu.(Picha na Yasin Kayombo)

No comments:

Powered by Blogger.