Header Ads

MAREHEMU DITOPILE MZUZURI, NAENDELEA KUKULILIA


Pichani ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora, marehemu Ditopile Ukiwaona Mzuzuri, ambaye April 20 mwaka huu, ametimiza mwaka mmoja, tangu afariki dunia mwaka jana mkoani Morogoro.Binafsi nitaendelea kukulia na kukuombea kwa mungu aiweke roho yako mahala pema peponi.Sisi tulikupenda lakini mungu amekupenda zaidi.

1 comment:

Anonymous said...

Happy pole sana najua marehemu alikuwa mtu wa karibu sana na wewe,
Binadamu tunaangalia mabayazaidi kuliko mazuri.Pamoja na mabaya yake kama binadamu alikuwa na mazuri piaambayo na hisi ndo maana unamkumbuka hadi leo."Mzee mmoja mwenye busara alipokufa kwenye jiwe
lili tunapoweka kaburini na miaka yetu ya kuzaliwa yeye aliandika;(NILIYATEGEMEA HAYA)Hapa nataka kusema kuwa haijalishi miaka tunayoishi duniani bali umeacha kumbukumbu gani.Hiyo kumbukumbu ndo leo hii Happy inakukumbusha bwana DITTO.

Powered by Blogger.